Biashara ya Stock

Fungua positions kuhusu utendaji wa baadhi ya kampuni tajika katika teknolojia na sekta, ikiwa ni pamoja na Google, Amazon, Tesla, AliBaba na Intel.

Akaunti

Aina ya utekelezaji

Soko

Ishara
Spread wastani
pips
Ada
kwa kila lot/upande
Margin
Long swap
pips
Short swap
pips
Stop level*
pips

Saa za kufanya biashara

Hisa zote zinaweza kuuzwa kuanzia Jumatatu hadi Ijumaa, kati ya saa 13:40 hadi 19:45. Biashara ya kabla ya soko kutoka 10:00 hadi 13:40 inapatikana kwa hisa zifuatazo:

INTC, BAC, TSLA, WFC, BABA, NFLX, C, AMD, PFE, META, JNJ, PYPL, ORCL, NVDA, MSFT, AMZN, AAPL, BA, BEKE, BIDU, BILI, FTNT, JD, LI, NIO, NTES, PDD, TAL, TSM, XPEV, AMC, BB, BYND, FUTU, TIGR.

Tafadhali kumbuka, unaweza tu kufunga open orders katika saa hizi za kabla ya soko. Hauwezi kufungua orders mpya wakati wa kabla ya soko.

Muda wote uko katika wakati wa seva (GMT+0).

Spreads

Spreads huelea kila wakati. Kwa sababu hii, spreads katika jedwali lililo hapo juu ni wastani kulingana na siku ya biashara iliyotangulia. Kwa spreads za moja kwa moja, tafadhali rejelea jukwaa la biashara.

Swaps

Hakuna swap inayotozwa kwenye positions za hisa.

Stop level

Tafadhali kumbuka kuwa thamani za stop level kwenye jedwali lililo hapo juu zinaweza kubadilika na huenda zisipatikane kwa traders wanaotumia mikakati fulani ya biashara ya kiwango cha juu au Expert Advisors.

Masharti ya margin

Wakati wa kufanya biashara ya hisa, kiwango cha leverage huwekwa kuwa 1:20 isipokuwa katika hali zifuatazo:

Matangazo ya kifedha ya kampuni

Katika tarehe ambazo ripoti za kifedha za kampuni ya hisa zinatangazwa, kuna ongezeko katika margin. Hii hufanywa ili kulinda wateja dhidi ya gaps za soko ambazo kwa kawaida hutokea kufuatia matangazo haya.

Katika siku hizi, kiwango cha leverage huwa ni 1:5 kwa saa 6 kabla ya soko kufungwa hadi dakika 20 baada ya soko kufunguliwa. Hii hutumika tu kwa hisa maalum iliyoathiriwa.

Katika tarehe ambazo ripoti za kifedha za kampuni ya hisa zinatangazwa, kuna ongezeko katika margin. Hii hufanywa ili kulinda wateja dhidi ya gaps za soko ambazo kwa kawaida hutokea kufuatia matangazo haya.

Katika siku hizi, kiwango cha leverage huwa ni 1:5 kwa saa 6 kabla ya soko kufungwa hadi dakika 20 baada ya soko kufunguliwa. Hii hutumika tu kwa hisa maalum iliyoathiriwa.

Mapumziko ya kila siku

Positions zote mpya za hisa zinazofunguliwa ndani ya dakika 15 kabla ya soko kufungwa na dakika 20 baada ya kufunguliwa itapunguzwa kwa kiwango cha leverage cha 1:5 siku inayofuata.

Unaweza kupata maelezo zaidi kuhusu masharti ya juu ya margin katika Maswali Yanayoulizwa Sana hapa chini.

Positions zote mpya za hisa zinazofunguliwa ndani ya dakika 15 kabla ya soko kufungwa na dakika 20 baada ya kufunguliwa itapunguzwa kwa kiwango cha leverage cha 1:5 siku inayofuata.

Unaweza kupata maelezo zaidi kuhusu masharti ya juu ya margin katika Maswali Yanayoulizwa Sana hapa chini.

Maswali yanayoulizwa sana

Haya hapa ni maswali yetu yanayoulizwa sana kuhusu kufanya biashara ya hisa na Exness.

Wakati ripoti za kifedha za kampuni ya hisa zinatangazwa, zinaweza kusababisha gaps za bei. Kutumia kiwango cha juu cha leverage wakati wa kubadilikabadilika ghafla ni hatari kwani mabadiliko ya ghafla ya soko yanaweza kusababisha upotezaji wa mtaji. Ndiyo maana tunaweka kikomo cha kiwango cha leverage cha 1:5 wakati wa matangazo ya fedha na positions zote mpya zilizofunguliwa kwenye instruments zilizoathiriwa na tangazo yatazingatia masharti ya margin yaliyoongezeka.

Sheria zifuatazo hutumika katika suala la kuweka viwango vya pending orders:

  • Pending orders pamoja na SL na TP (kwa pending orders) sharti yawekwe kwa umbali (angalau sawa na spread ya sasa au zaidi) kutoka kwa bei ya sasa ya soko.

  • SL na TP katika pending orders lazima ziwekwe angalau umbali sawa kutoka kwa bei ya order kama spread ya sasa.

  • Kwa positions wazi, SL na TP lazima ziwekwe kwa umbali kutoka kwa bei ya sasa ya soko ambayo ni angalau sawa na ile ya spread ya sasa.

Katika Exness, tunajua jinsi unahisi wakati pending order yako iko kwenye gap ya bei, kwa hivyo ni haki tunapokuhakikishia kuwa hakuna slippage kwa takriban pending orders zitakazotekelezwa angalau saa 3 baada ya biashara kufunguliwa kwa instrument. Hata hivyo, ikiwa order yako inakidhi mojawapo ya vigezo vifuatavyo, itatekelezwa katika quote ya kwanza ya soko inayofuata gap:

  • Ikiwa pending order itatekelezwa katika hali ya soko ambayo si ya kawaida, kama vile wakati wa ukwasi wa chini cha bei au kubadilikabadilika ghafla kwa hali ya juu.

  • Ikiwa pending order yako iko katika gap lakini tofauti ya pip kati ya quote ya kwanza ya soko (baada ya gap) na bei iliyoombwa ya order ni sawa na au kuzidi idadi fulani ya pips (thamani ya kiwango cha gap) kwa instrument fulani.

Udhibiti wa kiwango cha gap hutumika kwa instruments mahususi za biashara.

Kiwango cha stop out kwa hisa ni 0%. Wakati wa mapumziko ya kila siku ya hisa, kiwango cha stop out hubadilishwa hadi 100%. Hii ina maana kwamba order zako ambazo zinabaki wazi wakati wa mapumziko kwenye soko la stock, zinaweza kufungwa kwa stop out wakati kiwango cha margin kinafikia 100%.

Hisa zote katika jedwali lililo hapo juu zinapatikana kufanyiwa biashara kwenye akaunti za MT5. Hisa nyingi zilizoorodheshwa zinaweza pia kuuzwa kwenye akaunti za MT4, isipokuwa zifuatazo tu, ambazo zinapatikana tu kwenye MT5: JD, BIDU, PDD, BILI, BEKE, ZTO, TAL, YUMC, FTNT, EDU, LI, XPEV, na NIO.

Fanya biashara ya hisa

Wekeza katika kampuni tajika zaidi katika teknolojia na tasnia