Sheria

Tumepewa leseni na kudhibitiwa na mashirika yanayoongoza ya kimataifa, na kukuruhusu kufanya biashara ukijuakuwa usalama wako wa kifedha umelindwa.

Mamlaka ya Huduma za Kifedha (FSA)

FSA ni chombo cha udhibiti kinachojitegemea kinachohusika na kutoa leseni, kudhibiti, kutekeleza masharti ya taratibu na mapatano, kufuatilia na kusimamia uendeshaji wa biashara zisizo za benki katika sekta ya huduma za kifedha nchini Shelisheli.

Exness (SC) Ltd ni Muuzaji wa Amana aliyeidhinishwa na kudhibitiwa na Mamlaka ya Huduma za Kifedha ya Shelisheli (FSA) yenye nambari ya leseni SD025.

Exness (SC) Ltd hufanya kazi chini ya tovuti hii kwa utoaji wa huduma kwa maeneo ya mamlaka yaliyochaguliwa nje ya Eneo la Kiuchumi la Ulaya (EEA).

Pata maelezo zaidi

Benki Kuu ya Curacao na Sint Maarten (CBCS)

Exness B.V. ni Huluki ya Kati ya Amana ambayo imeidhinishwa na kusimamiwa na Benki Kuu ya Curacao na Sint Maarten yenye nambari ya leseni 0003LSI.

Benki Kuu ya Curacao na Sint Maarten husimamia sekta ya fedha ya nchi za Curacao na Sint Maarten ili kukuza uthabiti, uadilifu, ufanisi, usalama na utulivu wa sekta hii.

Exness B.V. hufanya kazi chini ya tovuti hii kwa utoaji wa huduma kwa maeneo ya mamlaka yaliyochaguliwa nje ya Eneo la Kiuchumi la Ulaya (EEA).

Pata maelezo zaidi

Mamlaka ya Huduma za Kifedha (FSC)

Exness (VG) Ltd imeidhinishwa na Tume ya Huduma za Kifedha (FSC) katika BVI yenye nambari ya usajili 2032226 na nambari ya leseni ya biashara ya uwekezaji SIBA/L/20/1133.

FSC ni Mamlaka ya Udhibiti inayowajibika kwa biashara zote za huduma za kifedha zinazofanya kazi ndani na kutoka ndani ya mipaka ya BVI.

Exness (VG) Ltd hufanya kazi chini ya tovuti hii kwa utoaji wa huduma kwa maeneo ya mamlaka yaliyochaguliwa nje ya Eneo la Kiuchumi la Ulaya (EEA).

Pata maelezo zaidi

Financial Services Commission (FSC)

Exness (MU) Ltd imeidhinishwa na Tume ya Huduma za Kifedha (FSC) nchini Morisi yenye nambari ya usajili 176967 na Muuzaji wa Uwekezaji (Dealer wa Huduma Kamili, Ukiondoa Udhamini) nambari ya leseni GB20025294.

FSC ndiye mdhibiti jumuishi wa sekta ya huduma za kifedha zisizo za benki na biashara ya kimataifa nchini Morisi.

Exness (MU) Ltd hufanya kazi chini ya tovuti hii kwa utoaji wa huduma kwa maeneo ya mamlaka yaliyochaguliwa nje ya Eneo la Kiuchumi la Ulaya (EEA). Kampuni hii kwa sasa haitoi huduma zozote za rejareja. Marejeleo yoyote ya ushirikishwaji wa Tume hautachukuliwa au kuashiria kwamba Tume imechukua jukumu la ubora wa bidhaa za kifedha, au kwamba imependekeza bidhaa za kifedha, au kwamba taarifa na maoni yaliyotolewa humu ni ya kweli na sahihi.

Pata maelezo zaidi

Mamlaka ya Maadili ya Sekta ya Fedha (FSCA)

Exness ZA (PTY) Ltd imeidhinishwa na Mamlaka ya Maadili ya Sekta ya Fedha (FSCA) nchini Afrika Kusini kama Mtoa Huduma za Kifedha (FSP) yenye nambari ya FSP 51024.

FSCA inawajibikia udhibiti na usimamizi wa mwenendo wa soko. FSCA inalenga kuimarisha na kuunga mkono ufanisi na uadilifu wa masoko ya fedha na kulinda wateja wa kifedha kwa kuendeleza utendewaji wao wa haki na taasisi za fedha.

Exness ZA PTY Ltd inatoa huduma zake kupitia tovuti ya www.exness.co.za.

Pata maelezo zaidi

Tume ya Amana na Ubadilishanaji wa Fedha ya Saiprasi (CySEC)

CySEC ni mamlaka huru ya usimamizi wa umma yenye jukumu la usimamizi wa, pamoja na mambo mengine, huduma za uwekezaji nchini Saiprasi.

Exness (Cy) Ltd ni Kampuni ya Uwekezaji nchini Saiprasi, iliyoidhinishwa na kudhibitiwa na Tume ya Usalama na Ubadilishanaji wa Fedha ya Saiprasi (CySEC) yenye nambari ya leseni 178/12.

Exness (Cy) Ltd hufanya kazi chini ya tovuti ya www.exness.eu. Exness (Cy) Ltd haitoi huduma kwa wateja wa rejareja.

Pata maelezo zaidi

Mamlaka ya Maadili ya Kifedha (FCA)

FCA ndiyo mdhibiti wa maadili wa makampuni ya huduma za kifedha na masoko ya fedha nchini Uingereza na ndiye mdhibiti makini wa baadhi ya makampuni ya huduma za kifedha inayodhibiti.

Exness (UK) Ltd ni Kampuni ya Uwekezaji, iliyoidhinishwa na kudhibitiwa na Financial Conduct Authority (FCA) nchini Uingereza chini ya Sajili ya Huduma za Kifedha nambari 730729.

Exness (UK) Ltd hufanya kazi chini ya tovuti ya www.exness.uk. Exness (UK) Ltd haitoi huduma kwa wateja wa rejareja.

Pata maelezo zaidi

Mamlaka ya Masoko ya Mitaji (CMA)

Exness (KE) Limited imeidhinishwa na Mamlaka ya Masoko ya Mitaji (CMA) nchini Kenya kama broker wa fedha za kigeni wa mtandaoni anayetoa ufikiaji usiodhibitiwa wa bei za soko mwenye nambari ya leseni 162.

CMA ni chombo cha udhibiti cha kiserikali kilichopewa jukumu kuu la kusimamia, kutoa leseni na kufuatilia shughuli za market intermediaries, na watu wengine wote waliopewa leseni chini ya Sheria ya Masoko ya Mitaji.

Exness (KE) Limited inatoa huduma zake kupitia tovuti ya www.exness.ke.

Pata maelezo zaidi

Tume ya Amana ya Yordani (JSC)

JSC ni shirika la udhibiti linalohusika na kutoa leseni, kudhibiti, kutekeleza masharti ya udhibiti na utiifu, kufuatilia na kusimamia uendeshaji wa biashara katika sekta ya huduma za kifedha zisizo za benki katika Ufalme wa Hashemite wa Jordan.

Exness Limited Jordan Ltd imesajiliwa na Idara ya Udhibiti wa Makampuni kwa nambari ya usajili (51905) na kudhibitiwa na Tume ya Amana ya Yordani (JSC).

Exness Limited Jordan Ltd hufanya kazi chini ya tovuti www.exness.jo.

Pata maelezo zaidi

Masharti ya kimaeneo

Exness Group haitoi huduma kwa wakazi wa maeneo kadhaa ya mamlaka, ikiwa ni pamoja na Marekani.

Maswali yanayoulizwa sana

Exness ni broker anayedhibitiwa, anayemiliki leseni nyingi za udhibiti kutoka kwenye mamlaka kadhaa za kifedha duniani kote kama vile Mamlaka ya Huduma za Kifedha ya Seychelles (FSA), Tume ya Usalama na Ubadilishanaji wa Mali ya Kupro (CySEC)*, Financial Conduct Authority (FCA) nchini Uingereza*, Mamlaka ya Maadili ya Sekta ya Kifedha ya Afrika Kusini (FSCA), Benki Kuu ya Kurasao na Sint Maarten (CBCS), Tume ya Huduma za Kifedha (FSC) katika Visiwa vya Virgin vya Uingereza, Tume ya Huduma za Kifedha (FSC) nchini Morisi na Mamlaka ya Masoko ya Mitaji (CMA) nchini Kenya na Tume ya Dhamana ya Yordani (JSC).

Mashirika haya ya udhibiti huhakikisha kuwa Exness inafanya kazi kwa kufuata sheria na viwango vya kimataifa vya kifedha na kutoa mazingira salama ya kibiashara kwa wateja wake.

*Kanusho: Exness (Cy) Ltd na Exness (UK) Ltd hazitoi huduma za biashara kwa wateja wa rejareja.

Exness inadhibitiwa katika nchi mbalimbali katika mabara tofauti. Barani Afrika, Exness imeidhinishwa na Tume ya Huduma za Kifedha (FSC) katika Visiwa vya Virgin vya Uingereza na Morisi, pia Mamlaka ya Maadili ya Sekta ya Kifedha (FSCA) nchini Afrika Kusini na Mamlaka ya Masoko ya Mitaji (CMA) nchini Kenya.

Barani Ulaya, inadhibitiwa na Tume ya Amana na Ubadilishanaji wa Kifedha ya Kupro (CySEC)* na Financial Conduct Authority (FCA)* nchini Uingereza.

Karibi, Exness ina leseni kutoka kwenye Mamlaka ya Huduma za Kifedha (FSA) nchini Ushelisheli na Benki Kuu ya Kurasao na Sint Maarten (CBCS).

Katika Mashariki ya Kati, Exness inadhibitiwa na Tume ya Dhamana ya Yordani (JSC).

Mashirika haya ya udhibiti huhakikisha kuwa Exness inazingatia viwango vya kifedha na huduma zinazotolewa zinadhibitiwa.

*Kanusho: Exness (Cy) Ltd na Exness (UK) Ltd hazitoi huduma za biashara kwa wateja wa rejareja.

Tofauti kuu kati ya broker anayedhibitiwa na broker asiyedhibitiwa ipo katika uangalizi na utiifu wa viwango vya kisheria na kifedha vinavyohitajika na mamlaka ya serikali au huru.

Broker anayedhibitiwa ameidhinishwa kufanya kazi ndani ya eneo mahususi au kutoka nchi ambayo kuna makubaliano ya udhibiti kati ya pande zote, kuhakikisha kuwa broker huyo anafuata seti ya kanuni, sheria na hatua za ulinzi zilizowekwa awali kwa traders na wawekezaji. Utoaji huu wa leseni unaonyesha kuwa mdhibiti anayetambuliwa anafuatilia shughuli za broker huyo ili kuhakikisha kuwa broker huyo anafuata kanuni za biashara zenye haki.

Fanya biashara na broker anayeaminika leo

Jionee mwenyewe kwa nini Exness ndiye broker anayefaa zaidi kwa traders zaidi ya 800,000 na washirika 64,000.