Trade crypto kwa spreads za chini na thabiti

Trade cryptocurrencies maarufu ikiwa ni pamoja na BTCUSD, ETHUSD, na LTCUSD, na ushikilie positions zako bila kutozwa ada za usiku kucha.

Fungua akaunti na uanze kutrade crypto

Fikia soko la crypto linalokua

kupitia bidhaa na ufurahie uwezo wa kunufaika na mienendo ya bei ya crypto bila kuhitaji kumiliki mali ya msingi.

Fanya trade kwa cryptocurrencies zote zinazopatikana

swap-free kabisa na ushikilie trading positions zako za crypto bila gharama ya ziada.

Tumia vipengele vya biashara ya umiliki

kuimarisha positions zako na kuupa mkakati wako faida ya kipekee katika soko linalobadilika.

Spreads na margins za soko la Crypto

Market execution

Ishara

Spread wastani

pips

Ada

kwa kila lot/upande

Margin

Long swap

pips

Short swap

pips

Stop level*

pips

Masharti ya soko la Crypto

Soko la crypto ni soko la sarafu ya kidijitali ambalo hutumia teknolojia ya rekodi ya makundi ya miamala kuunda sarafu mpya na kuwapa watumiaji transactions salama. Kutrade bidhaa za crypto hukuwezesha kubadilisha portfolio yako ya mtandaoni na kunufaika na mienendo ya bei za cryptocurrency iwe zinapanda au zinashuka.

Saa za kufanya biashara

Unaweza kufanya biashara ya cryptocurrencies 24/7 isipokuwa wakati wa matengenezo ya seva. Tutakujulisha kupitia barua pepe wakati matengenezo haya yatafanyika.

Jozi za cryptocurrency zilizo hapa chini zina hali ya funga pekee:

  • BTCAUD, BTCJPY, BTCCNH, BTCTHB, BTCZAR: Jumapili kuanzia saa 20:35 hadi 21:05
  • BTCXAU, BTCXAG: Jumapili kuanzia saa 21:35 hadi 22:05

Jozi zilizo hapa chini za cryptocurrency pia zina mapumziko ya kila siku:

  • BTCXAU, BTCXAG: Jumatatu - Alhamisi kuanzia saa 20:58 hadi saa 22:01

Muda wote uko katika saa za seva (GMT+0).


Spreads

Spreads huelea kila wakati, kwa hivyo spreads kwenye jedwali hapo juu ni wastani wa jana. Kwa spreads za moja kwa moja, tafadhali rejelea jukwaa lako la biashara.

Tafadhali kumbuka kuwa spreads zinaweza kupanuka wakati soko linapata liquidity ya chini. Hii inaweza kuendelea hadi viwango vya liquidity vitakaporejeshwa.


Swaps

Hakuna ada za swap kwenye positions za cryptocurrency.


Masharti ya margin yasiyobadilika

Masharti ya margin kwa jozi zote za cryptocurrencies hayawezi kubadilika, bila kujali leverage unayotumia.


Stop level

Tafadhali kumbuka kuwa thamani za stop level kwenye jedwali lililo hapo juu zinaweza kubadilika na huenda zisipatikane kwa traders wanaotumia mikakati fulani ya biashara ya kiwango cha juu au Expert Advisors.

Kwa nini ufanye trade ya crypto kwenye Exness

Iwe ni Bitcoin ama Ethereum, Litecoin, na zaidi, unaweza rkutrade mienendo ya bei ya cryptocurrency dhidi ya dola ya Marekani kwa hali bora-kuliko-za soko.

Kutoa pesa papo hapo

Rahisisha hatua ya kutoa pesa ili kufikia funds zako haraka. Chagua njia unayopenda ya malipo, tuma ombi la kutoa pesa na ufurahie idhini ya papo hapo.¹

Biasharaya swap-free

Weka trades zako za mtandaoni zikiwa zimefunguliwa usiku kucha bila kutozwa ada0, iwe unanunua aukuuza cryptocurrency unayopendelea.

Ulinzi dhidi ya Stop Out

Furahia kipengele cha kipekeecha ulinzi wa soko ambacho huimarisha positions zako na husaidia kuchelewesha au kuepuka stop outs, hasa wakati wa kuongezeka kwa volatility.

Maswali yanayoulizwa sana

Sheria zifuatazo hutumika katika suala la kuweka viwango vya pending orders:

  • Pending orders pamoja na SL na TP (kwa pending orders) sharti yawekwe kwa umbali (angalau sawa na spread ya sasa au zaidi) kutoka kwa bei ya sasa ya soko.

  • SL na TP katika pending orders lazima ziwekwe angalau umbali sawa kutoka kwa bei ya order kama spread ya sasa.

  • Kwa positions wazi, SL na TP lazima ziwekwe kwa umbali kutoka kwa bei ya sasa ya soko ambayo ni angalau sawa na ile ya spread ya sasa.

Teknolojia ya Rekodi ya makundi ya miamala ni mfumo wa leja inayosambazwa ambapo kila transaction huthibitishwa kwenye kompyuta nyingi kwa njia salama, hivyo kuifanya ambayo haiwezi kudukuliwa au kubadilishwa. Hufanya kazi kwa kutengeneza msururu wa makundi ya miamala, kila kikundi kikiwa na rekodi ya transaction iliyotangulia. Rekodi ya makundi ya miamala imelindwa kupitia utaratibu wa makubaliano unaojulikana kama “mining,” ambapo nodi za mtandao zihamasishwa ili kuhalalisha transactions na kutengeneza makundi mapya ya miamala. Hii hufanya isiwezekane kwa mtu yeyote kubadilisha data iliyohifadhiwa kwenye rekodi ya makundi ya miamala au kufanya marekebisho ambayo hayajaidhinishwa. Pia, kutokana na asili yake ya kusambazwa, haiwezi kushindwa. Hiyo inamaanisha ikiwa nodi moja itaacha kufanya kazi, nodi zingine zitaendelea kufanya kazi bila usumbufu.

Katika Exness, tunajua jinsi unahisi wakati pending order yako iko kwenye gap ya bei, kwa hivyo ni haki tunapokuhakikishia kuwa hakuna slippage kwa takriban pending orders zitakazotekelezwa angalau saa 3 baada ya biashara kufunguliwa kwa instrument. Hata hivyo, ikiwa order yako inakidhi mojawapo ya vigezo vifuatavyo, itatekelezwa katika quote ya kwanza ya soko inayofuata gap:

  • Ikiwa pending order itatekelezwa katika hali ya soko ambayo si ya kawaida, kama vile wakati wa ukwasi wa chini cha bei au kubadilikabadilika ghafla kwa hali ya juu.

  • Ikiwa pending order yako iko katika gap lakini tofauti ya pip kati ya quote ya kwanza ya soko (baada ya gap) na bei iliyoombwa ya order ni sawa na au kuzidi idadi fulani ya pips (thamani ya kiwango cha gap) kwa instrument fulani.

Udhibiti wa kiwango cha gap hutumika kwa instruments mahususi za biashara.

Wakati wa kuamua cryptocurrencies ambazo utafanyia kutrade, ni muhimu kuzingatia mambo kadhaa. Mambo haya ni pamoja na volatility, ukwasi, mtaji wa soko, na vipengele vya kiteknolojia.

Traders wanapaswa pia kutafiti timu inayohusika na ukuzaji wa sarafu au tokeni na kuzingatia mafanikio yao ya hapo awali na miradi mingine.

Ni muhimu pia kufuatilia habari za soko la crypto unapojaribu kutambua fursa za biashara ya crypto. Na hatimaye, fanya uchanganuzi wa kina wa kimsingi na wa kiufundi wa bei za cryptocurrency katika vipindi kadhaa kabla ya kuamua wakati wa kuingia au kutoka kwa trade.

Bitcoin ndiyo cryptocurrency maarufu zaidi na inayotumika sana. Mtaji wake wa soko ni mkubwa kuliko viwango vingine vyote vya soko la crypto kwa pamoja.

Pia ina kiwango cha juu zaidi cha ukwasi, pamoja na miundombinu thabiti. Hii inaifanya kuwa cryptocurrency maarufu zaidi miongoni mwa traders na wawekezaji pia.

Ingawa Bitcoin hupata hali ya volatility ya bei, huendelea kuwa thabiti zaidi kuliko sarafu zingine, ambazo zinabadilika-badilika zaidi, za kidijitali.

Kimsingi, ni wewe pekee ndiye unaweza kubaini kama Bitcoin ni nyongeza nzuri kwa portfolio yako ya biashara au la. Inategemea sana mkakati wako binafsi wa biashara ya Bitcoin na uwezo wa kudhibiti hatari.

Kama kawaida, tunapendekeza ufanye utafiti wako mwenyewe na kusasishwa na habari za hivi punde za crypto kabla ya kutrade kwenye soko la crypto.

Tunatoa trade saa 24/7 kwa cryptocurrencies zote, isipokuwa kwenye jozi chache za cryptocurrency (tazama hapo juu). Ikiwa kuna matengenezo yoyote ya seva, tutakujulisha.

Unaweza kuweka hedge kwenye positions za cryptocurrency zenye hedged margin ya 0%. Tafadhali kumbuka, kwa ETHUSD na LTCUSD, huwezi kufunga orders kwa kiasi cha chini ya lot 0.1 kwa kuweka hedge/kufunga sehemu fulani.

Fanya biashara ya crypto 24/7

Nufaika na jozi maarufu zaidi za cryptocurrency ulimwenguni.