Akaunti za Professional

Akaunti zinazokidhi mahitaji ya wafanyabiashara wenye uzoefu zaidi. Mambo makuu ni pamoja na akaunti za spread ya chini au spread-free zenye execution inayowafaa wafanya biashara wa kipindi kifupi, wafanyabiashara wa mchana na wafanyabiashara wa algo.

Raw Spread

Spreads za chini mno yenye ada isiyobadilika kwa kila lot. Market execution.
 • Ukubwa wa chini zaidi wa lot

  0.01

 • Ukubwa wa juu zaidi wa lot

  200 (7:00 - 20:59 GMT+0), 60 (21:00 - 6:59 GMT+0)

 • Idadi ya juu zaidi ya positions

  Bila kikomo

 • Hedged margin

  0%

 • Margin call

  30%

 • Stop out

  0%

 • Utekelezaji wa order

  Soko

 • Swap-free

  Inapatikana

ona maelezo zaidi

Zero

Spread ya sifuri kwenye instruments 30 maarufu zaidi. Market execution, no requotes.
 • Ukubwa wa chini zaidi wa lot

  0.01

 • Ukubwa wa juu zaidi wa lot

  200 (7:00 - 20:59 GMT+0), 60 (21:00 - 6:59 GMT+0)

 • Idadi ya juu zaidi ya positions

  Bila kikomo

 • Hedged margin

  0%

 • Margin call

  30%

 • Stop out

  0%

 • Utekelezaji wa order

  Soko

 • Swap-free

  Inapatikana

ona maelezo zaidi

Pro

Akaunti yetu ya instant execution, isiyotozwa ada na spread ya chini.
 • Ukubwa wa chini zaidi wa lot

  0.01

 • Ukubwa wa juu zaidi wa lot

  200 (7:00 - 20:59 GMT+0), 60 (21:00 - 6:59 GMT+0)

 • Idadi ya juu zaidi ya positions

  Bila kikomo

 • Hedged margin

  0%

 • Margin call

  30%

 • Stop out

  0%

 • Utekelezaji wa order

  Papo hapo (forex, metali, nishati, hisa, fahirisi), soko (crypto)

 • Swap-free

  Inapatikana

ona maelezo zaidi

Sababu za kuchagua akaunti za professional

Ikiwa wewe ni mfanyabiashara mwenye uzoefu, akaunti hizi zinakufaa. Zina raw spread au hata spread-free. Akaunti zetu za kitaalamu zinatekelezwa ili kuendana na wafanyabiashara wa kipindi kufupi, wafanyabiashara wa mchana na wafanyabiashara wa algo.

Vipengele vya akaunti za professional

Raw Spread
Zero
Pro
Kiwango cha chini cha amana
SpreadKuanzia pips 0Kuanzia pips 0Kuanzia pips 0.1
AdaHadi $3.50 kila upande kwa lotKutoka $0.2 kila upande kwa lotHakuna ada
Kiwango cha juu cha leverage1:Bila kikomo1:Bila kikomo1:Bila kikomo
InstrumentsForex, metali, crypto, nishati, hisa, fahirisiForex, metali, crypto, nishati, hisa, fahirisiForex, metali, crypto, nishati, hisa, fahirisi
Ukubwa wa chini zaidi wa lot0.010.010.01
Ukubwa wa juu zaidi wa lot200 (7:00 - 20:59 GMT+0), 60 (21:00 - 6:59 GMT+0)200 (7:00 - 20:59 GMT+0), 60 (21:00 - 6:59 GMT+0)200 (7:00 - 20:59 GMT+0), 60 (21:00 - 6:59 GMT+0)
Idadi ya juu zaidi ya positionsBila kikomoBila kikomoBila kikomo
Hedged margin0%0%0%
Margin call30%30%30%
Stop out0% (angalia maelezo kuhusu hisa)0% (angalia maelezo kuhusu hisa)0% (angalia maelezo kuhusu hisa)
Utekelezaji wa orderSokoSokoPapo hapo (forex, metali, nishati, hisa, fahirisi), soko (crypto)
Swap-freeInapatikanaInapatikanaInapatikana
Sajili akaunti ya MT5Sajili akaunti ya MT4Sajili akaunti ya MT5Sajili akaunti ya MT4Sajili akaunti ya MT5Sajili akaunti ya MT4

Fanya biashara popote ulipo ukitumia Programu ya Exness Trade

Kila kitu unachohitaji ili kufanya biashara bila wasiwasi katika programu moja bunifu.