Kikokotoo cha Uwekezaji

Kokotoa kiotomatiki vigezo vya trade yako ukitumia kikokotoo chetu cha uwekezaji kinachofaa. Weka tu maelezo ya position na ubofye Calculate ili kupata matokeo yako ya ukokotoaji.

Matokeo ya ukokotoaji

Margin
Swap long
Swap short
Thamani ya pip

Maswali yanayoulizwa sana

Pata majibu kwa maswali yanayoulizwa sana kuhusu Kikokotoo cha Uwekezaji.

Kifaa mwafaka na rahisi, Kikokotoo cha Uwekezaji cha Exness hukusaidia kukokotoa kiotomatiki misingi ya trading position yako, ambayo ni pamoja na thamani ya pip, margin, swap long na swap short.

Kikokotoo hiki ni muhimu sana unapotaka kubainisha thamani zilizo hapo juu kwa positions nyingi zilizo wazi kwenye aina mbalimbali za instrument.

Kwenye kikokotoo:

  • Chagua aina ya akaunti ya kutrade ya Exness unayofanyia trade (akaunti ya Standard, Standard Cent, Pro, Raw Spread au Zero).

  • Weka kiwango cha leverage na sarafu ya akaunti ambayo umeweka kwa akaunti yako ya kutrade. Sehemu ya leverage itazimwa unapochagua instruments za kutrade zilizo na masharti ya margin yasiyobadilika.

  • Chagua instrument yako ya kutrade kutoka kwenye orodha ya jozi za sarafu za fedha za forex, metali, stocks, indices na nishati.

  • Weka ukubwa wa lot ya trade yako, kisha ubofye kitufe cha 'Calculate'.

Utaweza kuona matokeo ya ukokotoaji wa margin, swap short, swap long, na thamani ya pip ya position.

Kwa sasa kuna thamani 4 ambazo zitaonyeshwa na kikokotoo cha kutrade:

  • Margin - Huu ni mtaji unaohitajika, au salio, ambalo linahitajika ili kudumisha position iliyo wazi.

  • Swap short na swap long - Swap ni riba inayotumika kwa positions za trade ambazo zimeachwa wazi usiku kucha, na inaweza kuwa ndefu au fupi kulingana na trade. Swap short kiwango cha Sell positions ilhali swap long ni kwa Buy positions.

  • Thamani ya pip - Hii huamua thamani ya pip 1, ambayo husaidia kukokotoa ni kiasi gani cha fedha ambacho trader atapata, au angepoteza, ikiwa bei ya trade itasogezwa kwa pip moja. Thamani ya pip hukokotolewa kwa sarafu ya bei kwa fomula, Lots x Ukubwa wa Mkataba x Ukubwa wa Pip.

Kiwango cha leverage kimetolewa kwa instruments fulani kwa kuwa zinaleverage iliyowekwa mapema. Katika hali kama hizi kiwango cha leverage hakibadiliki, hakiwezi kubadilishwa na hakiathiriwi na kiwango cha leverage katika akaunti yako ya kutrade.

Je, uko tayari kuanza?

Inachukua dakika 3 pekee kuweka mipangilio ya akaunti yako na kuwa tayari kufanya biashara