MetaTrader 4 (MT4)

Huku ikiweza kupakuliwa moja kwa moja bila malipo kwenye tovuti yetu, Exness huwapa traders jukwaa la biashara la MetaTrader 4 kwa ajili ya trade ya jozi za sarafu na financial instruments zingine kupitia mkataba wa utofauti (CFD).

Vipengele Vikuu vya MetaTrader 4

Uwezo wa Kubadilika kwa Kutrade

Fanya trade kwa urahisi kwenye MetaTrader 4 ukitumia Exness. Fanya trade ya CFD ya aina 6 za pending orders na aina 2 za execution: Instant Execution na Market Execution. Furahia uwezo wa kujenga na kutekeleza mikakati yako ya kutrade, bila kujali uchangamano, na ufanye trade ya financial instruments unazotaka.

Vifaa vya Uchanganuzi

Kwa kupitia indicators 30 za kiufundi zilizojengewa na vifaa 23 vya uchanganuzi, terminali ina safu ya zana za uchanganuzi, ikiwa ni pamoja na uchanganuzi wa kiufundi, ili uweze kukabili kwa ufanisi mabadiliko ya soko na mabadiliko ya bei, na kutambua points za kuingia na kutoka. Vifaa vingine pia ni pamoja na trailing stop na ishara za trade kwenye jukwaa la kompyuta ya mezani.

Kufanya Trade Kiotomatiki

Trade ya kiotomatiki kwenye masoko ya fedha inawezekana kwenye terminali za kompyuta ya mezani za MetaTrader 4. Kutokana na roboti za kufanya biashara, Expert Advisors (EA), unaweza kuweka kiotomatiki operesheni za kutrade na uchanganuzi kwenye masoko ya kifedha. Pia unaweza kuunda programu yako ya expert advisor na scripts kwa kutumia MetaQuotes Language 4 (MQL4) au kuagiza programu ya mpya Expert Advisor kwa urahisi.

Usalama

Usalama wa kifedha na data ni wa muhimu sana kwetu. Kwa hivyo, tunaipa kipaumbele cha kulinda data ya mteja wetu kwa kusimba kwa njia fiche mawasiliano yote kati ya seva na jukwaa la MT4 kwa kutumia vitufe vya 128-bit.

Kuhusu MetaTrader 4

Jukwaa linalojulikana la kutrade kati ya traders wa viwango vyote na uzoefu, MetaTrader 4 inaweza kuelezwa kuwa muhimu kwa brokers na traders sawa. Soma zaidi ili ugundue upekee wa jukwaa hili na jinsi linavyoboresha hali ya kutrade.

Jinsi MetaTrader 4 ilitengenezwa

Huku ikiwa imeundwa na MetaQuotes, kampuni ya maendeleo ya programu ya trade ya fedha, MetaTrader 4 ilitolewa mwaka wa 2005 na kupewa leseni kwa brokers na wale wanaotoa huduma za uwekezaji au uwakala.

Kabla ya MetaTrader 4 kutengenezwa, MetaQuotes ilikuwa imetoa bidhaa nyingine za trade ya kifedha, kuanzia Chati za FX mwaka wa 2000 na baadaye, jukwaa la MetaQuotes. Kufuatia kizazi cha tatu cha jukwaa na kuongezeka kwa maslahi ya soko katika bidhaa za MetaQuotes, kampuni ya maendeleo ya programu ilizindua jukwaa la kutrade la MetaTrader 4 na usanifu mpya na lugha ya programu.

Tangu kutolewa kwake, MetaTrader 4 imekuwa jukwaa la kutrade linaloongoza na maarufu sana, linalopendelewa na traders wa forex mtandaoni na huduma za uwakala kote duniani.

metatrader4-logo

Matumizi ya MetaTrader 4

Vifaa vingi vya terminali, ikiwa ni pamoja na mifumo ya kutrade inayonyumbulika, trade ya algoriti na trade ya simu, hutoa fursa za uwekezaji kwa traders wa viwango vyote vya ujuzi kufanya trade katika masoko ya fedha. Sehemu hizi muhimu za MetaTrader 4 sio tu kukusaidia kuamua kwa ufanisi points za kuingia na kutoka na kutambua mwelekeo wa soko, lakini pia kuboresha uzoefu wako wa kutrade.

Kusaidia njia za execution ya trade, ikiwa ni pamoja na Market Execution na Instant Execution, jukwaa la kutrade la MetaTrader 4 pia hutoa chati, expert advisors, ishara za kutrade na indicators za kiufundi. Ishara huwawezesha traders kunakili orders za kutrade na mikakati ya biashara ya traders wengine. Pia kuna habari za fedha na vifaa vya arifa ili traders wajulishwe habari za hivi punde za kutrade na makala.

metatrdader4-screen

Trade ya Kiotomatiki na MQL

MetaTrader 4 huja na programu ya Expert Advisors iliyosakinishwa mapema (EA) na indicators za kiufundi zinazoruhusu trade ya kiotomatiki kwenye masoko ya kifedha. Pia kuna Expert Advisors maalum, roboti za kutrade na indicator za kiufundi ambazo zinatengenezwa na traders wengine, ambazo unaweza kusanikisha kwenye jukwaa.

Pia, unaweza kuunda scripts zako, roboti za kutrade na indicators za kiufundi kwa kutumia MetaQuotes Language 4 (MQL4), lugha ya programu.

metatrader4-mql

Kufanya Trade kwa Simu na MetaTrader 4

Terminali ya biashara sio tu cha kompyuta za mezani zinazoendeshwa na Windows, macOS na Linux. Traders walio na ratiba nyingi wanaweza kufanya trade popote walipo kwa uwezo wa jukwaa la trade kwa trade ya simu za mkononi kwenye simu na kompyuta kibao za iOS na Android. Ukiwa na sehemu zote muhimu za MetaTrader 4, ikijumuisha orders za kutrade, chati shirikishi na vifaa maarufu vya uchanganuzi, unaweza kufuatilia akaunti yako na kutrade ya simu kwa kubofya mara moja. Toleo la programu ya simu ya iOS na Android pia hukuwezesha kupokea arifa zinazotumwa na programu hata wakati huitumii na kuzungumza na traders wengine.

metatrader4-mobile

Jukwaa lenye Uwezo la Vipengee Vingi

Terminali ya biashara ya kompyuta ya mezani ya MetaTrader 4

  • Zaidi ya instruments 200 za kutrade
  • Madarasa 6 ya mali
  • Aina 5 za akaunti za kutrade
  • Unlimited leverage
  • Spreads za chini hadi 0.0
  • Aina 6 za pending order (Buy Stop, Sell Stop, Buy Limit, Sell Limit, Take Profit, Stop Loss)
  • Vipindi 9 na aina 3 za chati
  • Inapatikana katika Windows, macOS na Linux
  • Kiolesura cha jukwaa la lugha nyingi
  • Instant execution na market execution
  • Indicators 50 zilizosanikishwa awali
  • Usalama uliosimbwa kwa njia fiche
  • Trailing stop, uchanganuzi wa kiufundi, na Indicators maalum, Expert Advisors (EA) na Scripts
  • Miongozo ya usaidizi iliyojengwa ndani

MT4 Multiterminal

  • Fuatilia hadi akaunti 128 za real na akaunti 10 za demo
  • Inapatikana kwa Windows
  • Fanya trade kwenye akaunti nyingi za aina moja
  • Fanya trade ya instruments zilizo na viambishi tamati sawa kwenye aina tofauti za akaunti

Unachoweza kufanyia trade biashara kwenye MT4

Katika Exness, unaweza kufurahia kufanya trade ya CFD katika zaidi ya instruments 200, ambazo ni pamoja na kufanya trade ya jozi za sarafu za forex, metali, cryptocurrencies, stocks, indices na nishati.

Forex

Kuna zaidi ya majozi 100 ya sarafu yanayopatikana kwa trade ya CFD kwenye MT4 katika Exness. Tunatoa jozi za sarafu kuu, ikiwa ni pamoja na EURUSD, GBPUSD na USDJPY, na jozi za sarafu ndogo. Pia kuna orodha ndefu ya majozi nadra yanayopatikana kufanyia trade ya CFD.

Metali

Katika MT4 ukitumia Exness, unaweza kufanya trade ya CFD kwenye metali kwa njia ya jozi za sarafu, ambazo ni pamoja na XAUUSD, XAUEUR, XAUGBP na XAUAUD kwa dhahabu na XAGUSD, XAGEUR, XAGGBP na XAGAUD kwa fedha. Unaweza pia kufanya trade kwa platinamu (XPT) na paladiamu (XPD) kwa jozi za sarafu.

Cryptocurrencies

Unaweza kutrade katika sarafu maarufu zaidi za crypto katika jozi za sarafu kwenye MetaTrader 4. Hizi ni pamoja na CFD kwenye Bitcoin, Ethereum, Litecoin na Bitcoin Cash, huku Bitcoin ikipatikana katika BTCUSD, BTCKRW, BTCJPY na zaidi.

Stocks, Indices na Nishati

Kwa sasa, traders kwenye MT4 wanaweza kufanya trade ya CFD kwenye zaidi ya stocks 80, ambazo zimeorodheshwa kwenye tovuti yetu, na indices 10, ikiwa ni pamoja na US30, DE30, HK50, UK100, na AUS200. Kuhusu nishati, tunatoa CFD kwenye UKOIL, USOIL na XNGUSD.

Jinsi ya kufungua akaunti ya MT4 na Exness

Kabla ya kuanza kufanya trade, fungua kwanza akaunti ya Standard au ya Professional ya MT4 ukitumia Exness. Baada ya usajili wa akaunti kufanikiwa, utaweza kupata maelezo ya akaunti yako ya MT4 yaliyoorodheshwa katika Eneo lako la Binafsi.

Jinsi ya kuingia kwenye akaunti ya MT4

Kwa Windows, macOS na Linux:
  • Washa terminali ya biashara kwenye Kompyuta yako ya mezani
  • Kwenye terminali, bofya ‘File’ kisha uchague ‘Login to Trade Account’
  • Kisha, weka nambari ya akaunti yako kama Maelezo ya kuingia, nenosiri la trade ya akaunti yako na seva ambayo akaunti yako ilisajiliwa
  • Ukishaingia, utasikia sauti ya kengele ikithibitisha kuingia kwako

Maswali yanayoulizwa sana

Pata majibu kwa maswali yanayoulizwa sana kuhusu kutumia MetaTrader 4.

Kwa terminali ya kompyuta ya mezani ya Windows, utahitaji kuingia kwenye akaunti yako ya kutrade. Ili kuingia:

  • Bofya ‘File’ na kisha ‘Login to Trade Account’

  • Weka Maelezo ya kuingia, Nenosiri na Seva (maelezo ya kuingia kwenye MT4 na seva yanaweza kupatikana katika akaunti yako ya kutrade ya MT4 katika Eneo la Binafsi huku nenosiri lako likiwa sawa na uliloweka kwa akaunti yako ya kutrade)

  • Ukishaingia, utasikia sauti ya kengele ikithibitisha kuingia kwako na unaweza kuanza kufungua trade.

Kwa miongozo ya jinsi ya kutumia na kuingia katika majukwaa mengine ya MT4 kwenye Exness, tembelea Kituo chetu cha Usaidizi.

Baada ya kufungua au kuingia kwenye akaunti yako ya kutrade ya MT4, unaweza kuweka order mpya ya CFD. Kwa terminali ya kompyuta ya mezani ya MetaTrader 4:

  • Fungua order Mpya kwa kubofya 'New Order' kwenye upau wa vidhibiti au kubofya mara mbili kwenye jozi ya sarafu ya forex unayotaka kwenye dirisha la 'Market Watch'

  • Baada ya kuchagua alama, weka kiasi chako, stop loss na take profit

  • Kisha bofya ‘Market Execution’ au ‘Pending Order’

  • Kisha, bofya kwenye ‘Sell by Market’ au ‘Buy by Market’ ili kufungua trade.

Unaweza kufunga order kwa kubofya order yako mara mbili na kubofya kitufe cha ‘Close by Market’ au kwa kubofya upande wa kulia wa order yako na kuchagua ‘Close Order’.

Majukwaa mengine ya MT4 yanaweza kuwa na njia tofauti kidogo za kufungua trades, ambazo unaweza kuzitazama katika Kituo chetu cha Usaidizi.

Huku ikiwa imeundwa na MetaQuotes, MetaTrader 4 sio tu maarufu kwa zana na vipengele vyake, lakini pia kwa usalama wake. Mfumo wa MT4 husimba kwa njia fiche data yote inayotumwa kati ya traders na seva za jukwaa, na kuhakikisha kuwa akaunti za kutrade, miamala na data yako inalindwa.

MetaTrader 4 hailipishwi. Exness haitozi ada yoyote kwa kupakua au kutumia chaguo zozote tofauti za jukwaa la MT4. Hata hivyo, muunganisho wa Intaneti wa kutumia terminali ya biashara na ada zingine zinazohusiana ni wajibu wa trader.