Wasiliana nasi
Kuna njia nyingi za kuwasiliana nasi, popote ulipo ulimwenguni. Tuna timu ya kimataifa ya wataalamu wa usaidizi waliojitolea na walio tayari kukusaidia.
Je, una swali?
Kituo cha Usaidizi
Pata taarifa za kina kuhusu vituo vya biashara vya Exness, uwekaji na utoaji pesa, na zingine zaidi katika Kituo cha Usaidizi cha Exness.
Live chat
Je, hupati majibu unayotafuta? Uliza timu yetu ya usaidizi kwenye gumzo la moja kwa moja. Wasilisha nambari ya akaunti yako na PIN ya usaidizi ikiwa wewe ni mteja aliyepo.
Barua pepe
Wasiliana na support@exness.com na tutakujibu ndani ya saa 24. Wasilisha nambari ya akaunti yako na PIN ya usaidizi ikiwa wewe ni mteja aliyepo.
Simu
Je, ungependa kuwasiliana na timu yetu ya usaidizi ya kimataifa? Tupigie simu kwa
Timu yetu ya usaidizi
Wataalamu wetu wa usaidizi waliojitolea huzungumza kwa lugha 16. Usaidizi unapatikana saa 24 kwa siku, siku 7 kwa wiki katika Kiingereza, Kichina, Kithai, Kivietinamu na Kiswahili. Angalia saa zote za kazi za usaidizi za eneo kwenye jedwali lililo hapa chini.
Saa za kazi za timu ya usaidizi
Lugha
Upatikanaji
Saa za eneo uliko
Kiingereza, Kichina, Kithai, Kivietinamu, Kiswahili
Kiindonesia
Kiarabu
Kihindi, Kiurdu
Kibengali
Kijapani
Kikorea
Kifaransa
Kihispania
Kireno
Kirusi
Uwepo wetu wa kimataifa
Kupro
1, Siafi Street, Porto Bello, Office 401
Limassol
Uingereza
107 Cheapside
London
Shelisheli
9A CT House, 2nd Floor
Providence, Mahe
Africa Kusini
Offices 307&308 Third Floor, North Wing, Granger Bay Court, V&A Waterfront
Cape Town
Curacao
Emancipatie Boulevard Dominico F. “Don” Martina 31
Visiwa vya Virgin vya Uingereza
Trinity Chambers, P.O. Box 4301
Road town, Tortola
Kenya
Courtyard, 2nd Floor, General Mathenge Road, Westlands, Nairobi
Je, uko tayari kuanza?
Inachukua dakika 3 pekee kuweka mipangilio ya akaunti yako na kuwa tayari kufanya biashara