Programu ya Exness Trade

Imeundwa kwa mfanyabiashara wa mara kwa mara.

Mahiri, faafu, rahisi kutumia

Tambua fursa, fanya biashara na udhibiti akaunti zako za biashara ukitumia programu ya Exness Trade. Nufaika na uwekaji na utoaji pesa kwa urahisi, chaguo mbalimbali za kufanya malipo na usaidizi wa ndani ya programu 24/7.

Utendaji kamili wa biashara

Fungua biashara, weka pending orders na ufunge positions kwa kubofya kitufe. Weka mikengeuko, take profits na stop losses, yote katika skrini moja. Tazama orders zako kwa instrument au kwa akaunti na utumie kikokotoo cha ndani ya programu kwa hesabu za haraka za margin, spread na swap.

Aina mbalimbali za instruments

Fanya biashara ya zaidi ya instruments 200 kwa urahisi, ikijumuisha sarafu, fahirisi, hisa na nishati. Chagua vipendwa vyako kwa ufikiaji wa haraka au usogeze alama za juu zinazosonga na zinazouzwa zaidi kwa siku.

Uchanganuzi unaofikika

Changanua chati na ishara za hali ya juu ya biashara na indicators unazopendelea. Tumia kichupo cha Overview ili kupata takwimu na mitindo ya bei kwa kina.

Taarifa za soko

Weka arifa za bei za bid/ask na upate arifa za programu zinazokufaa ili upate taarifa za hivi punde kuhusu masoko. Tazama habari za hivi punde za soko, matukio yajayo ya kiuchumi na ishara za biashara.

Usimamizi wa akaunti

Jisajili, unda na udhibiti akaunti zako ndani ya programu. Weka, hamisha na utoe pesa kwa mibofyo michache tu.

Maelezo ya jukwaa

Programu ya Exness Trade
Inapatikana kwenye
iOS, Android
Aina za Akaunti
Akaunti zote za MT5
Aina za chati
Mstari, candle
Orders zinazosubiri
Buy limit, buy stop, sell limit, sell stop, take profit, stop loss
Indicators
Ishara za Biashara na Trading Central, Wastani wa Kusonga, Bendi za Bollinger, Parabolic SAR
Vipindi
M1, M5, M15, M30, H1, H4, D1
Masharti ya chini zaidi ya mfumo
iOS 14.5, Android 5.0